Video Musik

Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
Dadiposlim
Dadiposlim
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salim Sultan
Salim Sultan
Songwriter
Mbosso
Mbosso
Songwriter
Nusder
Nusder
Songwriter

Lirik

1er couplet
Ni trulize ni rahatse she ifuba
Ni pvihize nyandzo zini towe na huzuni
Yi djimize djimize beramu ya mahaba
Djuwa we dira ya hangu
Hena wandzawo tsiriye tamani
Utadjiri wangu ndawe sha tsi Mali
Hu Kinaza ye roho yi hupva radhi Ahsante
Nikiwa nawe Hali yangu mi shwari (baby)
Nikiwa nawe wanitibu Daktari
Chonde mbali usiende
Refrain
Ale dada ( x 3 )
Usiende mbali
Ale dada ( x 3 )
Usiende mbali
Yeah yieeeh
2ème couplet :
Harufu yaho yini bachiya
Wuni waliya dja mwezi
Utsi one Yeka tsi ndami
Subuti wambe wa haho ndami
Uje kuwa wangu mwandani
Utundu utundu Chumbani
Ahsante..
Nikiwa nawe Hali yangu mi shwari (baby)
Nikiwa nawe wanitibu Daktari
Chonde mbali usiende
Refrain :
Ale dada ( x 3 )
Usiende mbali
Ale dada ( x 3 )
Usiende mbali
Bridge :
Taratibu usimkanyage mwenzio
( Taratiibu...)
Cheza kidogo
( Taratiibu...)
Usitoke jasho
( Taratiibu...)
Taratibu kiuno kiweke kwa juu
( Taratiibu...)
Kata kidogo
( Taratiibu..)
Usitoke jasho
( Taratiibuu...)
Written by: Mbosso, Nusder, Salim Sultan
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...