Dari

Lirik

[Intro]
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
[Chorus]
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
[Verse 1]
Kuna siku nakosea mmh
Lakini kwako narejea aah
Na tunaandamwa na majukumu ghetto, wengi wakisema tutatoka ghetto
Wengine wakisonga tuna baki ghetto, Baba aah eeih
[Verse 2]
Nina imani nita timiza ndoto, nirudishe mkono nibariki ghetto
Iyeiyee nibariki ghetto, ooh noo mmh
Na niki ng'ang'ana na jua kali, wengi waliona mi sifai
Lakini Mungu wangu we haulali, Baba eeh iii
[Verse 3]
Wewe ndio kusema na kutenda, wewe ndio unabariki-bariki tu
Wewe ndio una inua inua mmh, Baba eeh ii
Wewe ndio kusema na kutenda, we ndio unapeana-peana mh
Wewe ndio una inua inua mmh, Baba eeh ii
[Chorus]
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
[Verse 4]
Na siogopi nakiwa na wewe eeh
Tena sitishiki, nakiwa na wewe eeh
Ukiwa nami Baba, ninahisi nguvu zako
As I walk through the shadow of the valley of death ninahisi nguvu zako
[Verse 5]
Umenitawalaa aah
Baba nitawalee eeh
Wewe Indio unapeana-peana, wewe Indio unabariki-bariki
Wewe ndio unainu-inua tu, Baba eeih
[PreChorus]
Wewe ndio kusema na kutenda, wewe ndio unapeana-peana tu
Wewe ndio unaabariki-bariki tu, Baba eeih
[Chorus]
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
Najua uko nami, uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...