Lirik

Aaah aah... Aaah aah Aaah aah... Aaah aah Aaah aah... Aaah aah Aaah aah... Aaah aah Ooh bizee napiga hela kama benki Wanaiga swagga ila haiketi Look sipigi hutokuta navaa feki Leo Gucci au Prada Pengine glasi za mkata Nasema zaidi ya Donna na Tanasha Simba wenu mlanyasi meno haiga nyama Sishoboki hata ngoma zikibuma Still Sipendi mazoea Hata ukinichekea nauchuna Baby whats your name kuja ujumuike nasi Kamata kinywaji acha wasi wasi Na kama tinga linazima ita taxi And it's all on me Bado nasoma namba Napenda watoto wenye darasa Punguza selfie nitakukacha Watoto na pombe, watoto na pombe Watoto na pombe, (nilichofuata ni) Watoto na pombe, watoto na pombe (pombo) Watoto na pombe Pombe... (aaaaaah) totoza Pombe... (aaaaaah) totoza Wananiita Sultan huku ghetto Njoo nikuonyeshe maisha ya Majengo Tupitie Mpambe tule wali Twende Pangani tuchane majani Aah naona umevaa mini Na unashinda ukiivuta vuta chini Ni hio haga inainua sio siri Samahani ni macho sio mimi Tumefika humu ndani ya giza Usijali bei nitalipa Kidogo msupa akaitisha Nikasikia ameitisha King Fisher Eey if you know you know (You know) King Fisher panty remo- aiii Manze ni leo, leo ndio leo Kwa nyundo leo watoto na vileo Baby [?] nkujumuike nasi Kama hata kinywaji acha wasi wasi Kama Tinga linazima ita Taxi And it's all on me Bado nasoma namba Mi naye watoto ni darasa Guza selfie nitakukacha Watoto na pombe, watoto na pombe Watoto na pombe, nilichofuata ni Watoto na pombe, watoto na pombe Pombe, watoto na pombe Pombe... Aaah aah... Aaah aah totoz Aaah aah... (Pombe) Aaah aah totoz Na iwake Whiskey River na Kisa B Club, Golden Ice (na iwake) Ooh ni starter pass Plug na seven D (na iwake) Whiskey River na Kisa B Club, Golden Ice (na iwake) Ooh ni starter pass Plug na seven D (na iwake) Na Milan pia Njuguna's na ka local pub Kwa mama Esther I see you Moraa.
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out