Lirik

Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Yesu wewe ndiwe Baba yangu Yesu wewe ni mwalimu wangu Yesu wewe kiongozi wangu Yesu wewe tumaini langu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Hata majaribu yajaponisonga Yesu ni Baba yangu, Baba Hata magumu yakiwa makubwa Bado ni Baba yangu, wewe Hata magonjwa yajaponitikisa Bado ni Baba yangu, Yesu Nijapotukanwa, na kudharauliwa Bado ni Baba yangu, Yesu Nitupwe gerezani, ndugu wanikimbie Bado ni Baba yangu, Yesu Yesu wewe ndiwe Baba yangu Yesu wewe ni mwalimu wangu Yesu wewe kiongozi wangu Yesu wewe tumaini langu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Ninapotembea kwenye njia nii Baba wapo wakorofi Malengo yao Ninase kwenye tanzi zao Wanipige kwa mawe, Baba Najua ahadi zako ni kweli, Baba Mimi nategemea kutoka kwako mungu Wewe ulisema Watakuja kwa njia moja Utawatawanya kwa njia saba Simama nipigie hawa, nipigie hawa Maana wewe ni Baba yangu Simama nipigie hawa Ninakutegemea wewe Yesu, Baba Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Yesu wewe ndiwe Baba yangu Yesu wewe ni mwalimu wangu Yesu wewe kiongozi wangu Yesu wewe tumaini langu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu Yesu wewe ndiwe Baba yangu Yesu wewe ni mwalimu wangu Yesu wewe kiongozi wangu Yesu wewe tumaini langu Yesu ninakutegemea Wewe ndiwe Baba yangu
Writer(s): Christopher Mwahangila Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out