Video Musik

Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz
Performer
Marioo
Marioo
Performer
Musa Keys
Musa Keys
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Omary Faraji Nyembo
Omary Faraji Nyembo
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Musa Makamu
Musa Makamu
Producer

Lirik

Ukivaaje unapendeza? Gucci ma dior ama leather
Ukila nini una enjoy? Kuku, barger ama pizza
Gari gani unaendesha? Range, Benz ama Beamer
Kila kitu kwetu sikukuu, shusha vyombo juu ya meza
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Kula bata mpaka kuku zione wivu
Eeh zione wivu
Kula bar jipoze na maumivu
Eh na maumivu
Tumia pesa hasa acha uvivu
Aah acha uvivu
Kula bar jipoze na maumivu
Eh na maumivu
Natumia mpaka bilioni nikiona mabebebe
Mabebebe
Omary kichwa kasimama dedede
Dede
Naweka bondi mpaka nyumba nikiona mabebebe
Mabebebe
Omary kichwa kasimama dedede
Dede
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Ukivaaje unapendeza? Gucci ma dior ma leather
Ukila nini una enjoy? Kuku, barger ama pizza
Gari gani unaendesha? Range, Benz ama Beamer
Kila kitu kwetu sikukuu shusha vyombo juu ya meza
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Wee hasara roho, pesa makaratasi
Written by: Omary Faraji Nyembo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...