Lirik

Rabbit, Kaka Sungura Something, the last king over Okay Bad time ziukuja na believe ni bila warning So najipanga for the weather, jua tua ya jioni Wanashangaa vile niko ka mlevi anastagger but on a tight rope Comments kwa wall mahali naperform wanadai mi ni mdope Wakizidi kuongea chafu waambie waswallow soap Streets is talking, unabelieve in corridors? Leo so much love, kesho hawakufahamu, horrible But I guess ni kama relationships Mi upatana na X's tukiwa na Y's tukienda ma Z Z Z Nina apeal ya upunk but ghetto kaa Moha na Linda Hauamini Spider-Webs zikishikana zinaweza funga Simba Nawaconfiscate hao bado wanajicomplicate, nakeep it simpler Bado wananiita kwa ofisi, wananistudy hawa madean Paper yangu inamarkiwa kwa club Hassan akispin Present teacher, the swahili shakespeare! Ati niukate ndio waAuction recordings zangu na desk pia Little things ufurahisha tiny minds, talk huwa haipiki rice, huyu boy niMnice! Mic check 1 2, 1 2 testing Nilikosa kicks na snares, misfortunes ni blessings Ata wakinikazia nauzwa kwa streets kaa drugs taboo Fake friends bado wanaitikia, wale real wanaArgue Nikiwa East ni letter ya tano, Westy ni 'W' Present teacher, the swahili shakespeare! Ata talks zinaendelea vile nafaa kuwekwa kando ya Monument ya Tom Mboya Hapo hapo Mr. Price, tumeongea na prezzo aliniambia two more albums nikishazitoa Yeah! Rabbit anarule animal kingdom si siri Apart from Mistari, natema vitu fishy, Veni, Vidi Vicci Ati Swag nikubakisha food ndio itupwe kwa taka Fla si tukipiane kiuBrotha, Uzuri love ni virus inaweza wai msee yeyote Kaka sungura laundry tunableach, ukabila na ufala nitumie Jik au Topex Present teacher, the swahili shakespeare! Ni poa kubuild bridges than niunde ukuta No Dumping! taka taka bado utupwa Uzuri God ako kwa team yangu, haujacheki scoring? Ehh nilifunzwa kulala na one eye open Pastor analay hands kwa kichwa yako Hopin' utawacha robbin, usaidie city kaa Batman na Robin Hiyo third Sunday Zaituni akazaa, Asante Mungu Grandma amelive tena Aggy, msichana wa nguvu Kemp to Yunah Walucho, but you win some na upoteze pale Mtoi wa anto Uhunye, na Walach – Ray Mwangale Moment of silence Present teacher, the swahili shakespeare Make sure mouth yako ni sharp kaa Dagger, na heart ni soft kaa Tofu Wape hizo ma 'Thank you' whatever they taught you/ Iwe kubwa kaa atlas, au small tu! Mafans wangu mimi huwakumbusha I love you But who ceases to be a friend, we jua was never one Kila kitu ina urembo wake, si kila mtu ataiona Kula Junk daily, haimaanishi utanona Maneno ikishatoka kinywani, hauwezi ifuata Ata na farasi faster, bila nare nawawasha Si telly wananaswa, aswa nawabirth wakiwa Tasa Present teacher, the swahili shakespeare!
Writer(s): Kennedy Otieno Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out