Lirik

Funika funua, Aiboo Panisha midadi (eeeeh) Fanya kama unajivuta hivyo Haya movie your bodt Funika funua, Aiboo Panisha midadi (eeeeh) Fanya kama unajivuta hivyo Haya movie your body Funika funua, Aiboo Panisha midadi (S2KIZZY Babyy) Fanya kama unajivuta hivyo Haya movie your body Wapi kunaendeka, wapi nikaikoshe rohoo Pa kukesha, hamu imenishika oooh Wanateseka, wanafiki wanaumia roho Wanaenyeka, tumbo wamebanwa choo Eti nyooo nyonyoo, utayaweza tuchambane oooh Hauna show, hauna dow ah bila filter hutoboi ng'ooo Eti nyoo nyonyoo, kujitingisha tingisha ooh Hauna show, hauna dow bila filter hutoboi ng'ooo (pole yako) Huwezi kuwa mimi hata ufanyaje, hizi level zangu unafikaje Kwanza haunitishi unasemaje, unatakaje niaje aje? Huwezi kuwa mimi hata ufanyaje, hizi level zangu unafikaje Kwanza haunitishi unasemaje, unatakaje niaje aje? Funika funua, Aiboo Panisha midadi Fanya kama unajivuta hivyo Haya movie your body Funika funua, Aiboo Panisha midadi Fanya kama unajivuta hivyo Haya movie your body Aaah (aaah) eeeh (eeeh) iiih (iiih) oohh (oooh) uuuh (uuuh) Aaah (aaah) eeeh (eeeh) iiih (iiih) oohh (oooh) uuuh (uuuh) Eti nyooo nyonyoo, utayaweza tuchambane oooh Hauna show, hauna dow ah bila filter hutoboi ng'ooo Eti nyoo nyonyoo, kujitingisha tingisha ooh Hauna show, hauna dow bila filter hutoboi ng'ooo (pole yako) Huwezi kuwa mimi hata ufanyaje, hizi level zangu unafikaje Kwanza haunitishi unasemaje, unatakaje niaje aje? Huwezi kuwa mimi hata ufanyaje, hizi level zangu unafikaje Kwanza haunitishi unasemaje, unatakaje niaje aje? Aaah (aaah) eeeh (eeeh) iiih (iiih) oohh (oooh) uuuh (uuuh) Aaah (aaah) eeeh (eeeh) iiih (iiih) oohh (oooh) uuuh (uuuh)
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Oscar John Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out