Lirik

Yea, yea The Melanin Queen Lavi Davi (Chibby) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee) Hey darling, nakuita Sema Kama unakuja nipate huakika Si unapenda zege nishapika Njoo fasta mwenzako zina mwagika Nikuvutie ganja ndo nikule (aaah aah wewe tu) Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile (aaah aah wewe tu) Mi' sina muda wakupoteza eh (Basi nakuja, najisogeza hee) Mi' sina muda baby wakupoteza eh (Basi nakuja darling, najisogeza hee) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee) Niambie wapi ulipo mpenzi? (najisogeza hee) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee) Uuh uh Ukini-cheat moyo utauma hapa hapa Sogea usikeze unavyo dunda hapa hapa Ukiwa mbali unanipa mashaka shaka Sitaki ugonjwa wa presha aka aka Oh! no, no, no Sikuachi, sikusaliti Sikuumizi kabisaaa kabisa Nikuvutie ganja ndo nikule (aaah aah wewe tu) Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile (aaah aah wewe tu) Mi' sina muda wakupoteza hee (Basi nakuja, najisogeza hee) Mi' sina muda baby wakupoteza hee (Basi nakuja darling, najisogeza hee) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee) Niambie wapi ulipo mpenzi? (najisogeza hee) Tell me where you are? Tell me where you are baby? (najisogeza hee)
Writer(s): Emmanuel Elibariki Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out