Lagu Teratas Berdasarkan Christina Shusho
Lagu Serupa
Dari
PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Songwriter
Lirik
Ufanye imara, agano
Ufanye imara, agano
Eh Bwana Eh Bwana Eh Bwana weeh
Ufanye imara, agano
Ufanye imara, agano
Eh Bwana
Ufanya hima, na agano
Nami, ewe Bwana
Ufanye imara, agano (eeeh Yesu)
Ufanye imara, agano (eeeh Bwana)
Eh Bwana
'Tangulie Bwana
Tengeneza palipo paruzwa
Oh Bwana, nisaidie
Ufanye imara, agano
Ufanye imara, agano
Eh Bwana
Kama ulivyo tembea nami
Tembea na wana wa wanangu
Kama ulivyo nibariki
Bariki na uzao wangu
Kama ulivyo nilinda
Ulinda na taifa langu
Kama ulivyo nisimamia
Simamia na kazi ya mikono yangu
Ufanye imara, agano
Ufanye imara, agano
Eh Bwana
Ufanye imara, agano (eeh Bwana)
Ufanye imara, agano (eeeh Yesu)
Eh Bwana
Vunja vunja pande
Milango ya shaba
Ufanye imara, agano
Ufanye imara, agano
Eh Bwana
Kama ulivyo niongoza
Ongoza na kanisa lako
Kama ulivyo niponya
Uponye na nyumba yangu
Kama ulivyo niinua
Inua na uzao wangu
Wasiabudu miungu mingine
Ila Mungu moja, Jehova
Wasitafute nguvu kwingine
Isipo kuwa kwako tu
Ufanye imara, agano
Ufanye imara, agano
Eh Bwana
Ufanye imara, agano(Baaba)
Ufanye imara, agano(Yesu, eeeh Yesu)
Eh Bwana
Nipee hazina za gizani
Na mali zilizofichwa
Ufanye imara, agano (nikujue zaidi)
Ufanye imara, agano
Eh Bwana
Nikwitaye kwa jina lako
Mungu wa Israeli
Ufanye imara, agano(Baaaba)
Ufanye imara, agano(eeeeh Baaba)
Eh Bwana
End of lyrics
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com