Video Musik

Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
ADDAH
ADDAH
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdallah Saidi
Abdallah Saidi
Songwriter
Aslay Isihaka
Aslay Isihaka
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafia
Mafia
Producer

Lirik

[Verse 1]
Hauna mabavu moyo wangu
Wakushindana na penzi lako, ahaa!
Mpini kwako makali kwangu
Yalobaki maamuzi yako
[Verse 2]
Sina mamlaka yakupinga kauli yako
Usemacho n'tafuata
Hata ukifa nizikwe pembeni yako
[PreChorus]
Aah, aah!
Walitabiri penzi lifie mbali
Tukawapa majibu
Penzi moto la kwetu waotee mbali
Aah, aah!
Walitabiri penzi lifie mbali
Tukawapa majibu
Penzi moto la kwetu waotee mbali!
Aaa, aah
[Chorus]
Nawe mashaka sina
Nawe mashaka sina
Nawe mashaka sina
Mashaka sina
Nawe mashaka sina
[Verse 3]
Nitavunja kibubu cha mapenzi
Chochote nitakupa kwenye moyo wangu
Ila kuwa bubu ndio siwezi
N'tasemea penzi langu
[Verse 4]
Wenye chuki wanakesha, wanawanga uniache
Uniaache!
Wanataka uniache ili mimi nidateeh
Nidaate!
[Verse 5]
Wanataka nipoteze jimbo mjumbe uniache eh
Wanataka niwe na mzongo nibaki mpweeke eeh
Penzi letu nguvu ya mgambo wambea mateke tu
Wanataka vita, watapotea aii
[PreChorus]
Aah, aah!
Walitabiri penzi lifie mbali
Tukawapa majibu
Penzi moto la kwetu waotee mbali
Aah, aah!
Walitabiri penzi lifie mbali
Tukawapa majibu
Penzi moto la kwetu waotee mbali!
[Chorus]
Aaa, aah
Nawe mashaka sina
Nawe mashaka sina mama
Nawe mashaka sina
Mashaka sina
Nawe mashaka sina
Mashaka nono, no, no, no, no, no, no
Nawe mashaka sina
Mashaka sina na-na, aah
Written by: Abdallah Saidi, Aslay Isihaka
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...