Video Musik

Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
Lody Music
Lody Music
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Alawi Omary Alawi
Alawi Omary Alawi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ace Black
Ace Black
Producer

Lirik

[Verse 1]
Katika zangu pita pita
Moyoni nikakukaribisha
Nikasema ntakubadirisha
Umebadilika sasa unanidhalilisha
[Verse 2]
Upendo wako umejificha
Malumbano kila kukicha
Sikujua una visa
Unanifundisha yani unajifanya ticha, oh noo
[Verse 3]
Yani mapenzi bana yanachekesha
Yananifuraisha
Jana nimependwa
Leo nahachwa
[Verse 4]
Unaemuita mwana anachoresha
Vitu anavivujisha
Uwaga wanapendwa
We ukiachwa
[Verse 5]
Yanavunjisha sana moyo
Upendo ukizidi
Mapenzi yananiliza kwanini
[Verse 6]
Naulazimisha sana moyo
Kupenda kwa bidii
Ila kila siku naachwa mimi
Moyo unanii
[Chorus]
Simamaa, simamaa (Acha kukimbiaa) simamaa, simamaa
(Mjini kuna vya watu) Simamaa, simamaaa
(Punguza kukurupuka) Simamaa, simamaa moyo
Moyo unanii
[Verse 7]
Siulisema uezi ishi ukinikosa mbona leo unanitosa ,na sijui hata Kosa langu
Sawa ndo umeamua kunitosa na machozi yanatoka ulijali hata penzi langu
Kumbe kosa langu kukupenda eti nakuchosa pindi ukiona simu zangu
Niende kwa waganga ama nitumie mafuta ya mwamposa kulitibu ili penzi langu
[Verse 8]
Oouuoo natuma msg ndefu unazijibu kwa emoji
Nikijibu kwa emoji unasema hainogi mapenzii
Naulazimisha sana moyoo kukupenda kwa bidii
Ila kila siku naachwa mimi
Kwani moyo wangu unanii
[Chorus]
Simamaa, simamaa (Acha kukimbiaa) simamaaa, simamaa
(Punguza kukurupuka) Simamaa, simamaaa
(Ah simama, simama) Simamaa simamaa
Aah mjini kuna vya watu
Written by: Alawi Omary Alawi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...