Lirik

Ah Maisha ya Ah ah cheki Aaah Ni at ease alert ah, at ease alert ah At ease alert ah, at ease alert na Haka kajaba kanadai nikuwe alert Form ikijipa najitoa very fast Ni at ease alert ah, at ease alert ah At ease alert ah, at ease alert na Haka kajaba kanadai nikuwe alert Form ikijipa najitoa very fast So ni one nimekuja home nijiondoe very fast Nikingojwa na ile Uber yenye hucheza last last Nafaa kuenda church but sidhani mi ntakam Juu manze vеnye kumeshika hadi ukipiga ni revеrse Ngoja hold up, kuna mali amekam Kando KAV Subaru na najua ati amejam Uko wapi? Nko kwa jam, si unajua what a what a what a ah Ni at ease alert ah, at ease alert ah At ease alert ah, at ease alert na Haka kajaba kanadai nikuwe alert Form ikijipa najitoa very fast Ni at ease alert ah, at ease alert ah At ease alert ah, at ease alert na Haka kajaba kanadai nikuwe alert Form ikijipa najitoa very fast Yeah, hii beat ni kali na ni choppy Nikitokea bash najifanya sijasosi Alafu kwenye niko wanadai ati hawatoki Jaribu mtu mmoja utalala na masoki Dondi ukipata nimefura usitry kubisha hodi Usiulize nikindasu ju wapoa hatuoni Ni macho imefura usichoche ati huoni Venye zinanionyesha ni ati nganya kwa ploti At ease alert ah, at ease alert ah At ease alert ah, at ease alert na Haka kajaba kanadai nikuwe alert Form ikijipa najitoa very fast Ni at ease alert ah, at ease alert ah At ease alert ah, at ease alert na Haka kajaba kanadai nikuwe alert Form ikijipa najitoa very fast Alert ah (at ease alert ah) At ease alert ah Haka kajaba kanadai nikuwe alert Form ikijipa najitoa very fast Ni at ease alert ah
Writer(s): Jeremy Maina Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out