Dari
PERFORMING ARTISTS
Bob manecky
Performer
Barakah The Prince
Choir
Baraka Adrew
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Barakah The Prince
Songwriter
Baraka Adrew
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bob manecky
Producer
Bad Number
Assistant Producer
Lirik
nani atanibembeleza
moyo hauna hekima
mana nilijaribu ila bado nikavunjwa heshima
nilikumbeleza naona imefika kima eeh
japo vita ni ngumu ila mwisho najiona winner
hivi penzi ni lazima? sometimes nakunywa hadi nazima
na bado hainibadilishi maumivu yakiisha namkumbuka wa mtima
picha zake hujirudia usingizini hata nikiwa mzima
kweli mapenzi ni ubishi na haya maumivu nabado nang\'ang\'ania eeh
Nibembelezwe
nibembelezwe
nibembelezwe
huenda nikapunguza pombe
Nibembelezwe (na marafiki)
nibembelezwe (labda na ndugu)
nibembelezwe
huenda nitapunguza pombe
kama ingekua uwezo wangu,ningempa hii dunia
huenda angeona thamani ya mapenzi yangu kwake
ama ingekua nadhiri yangu ningebadili mwezi kua jua
aone maajabu na yote ningefanya afurahi yeye
lakini yote me nilijaribu
hata moja halikuleta jibu
maumivu ndo kwangu yakawa jibu ya mapenzi kwake yeye
mwezenu sina jibu mbona nampenda mpaka aibu
hata mkiniuliza me sitajibu nini special kwake yeye
Nibembelezwe
nibembelezwe
nibembelezwe
huenda nikapunguza pombe
Nibembelezwe (na marafiki)
nibembelezwe (labda na ndugu)
nibembelezwe
huenda nitapunguza pombe
hoi hoi
haki mwenzenu kwake niko hoi
sifurukuti wala sitoboi
sipigi chafya wala sikohoi
hoi hoi
haki mwenzenu kwake niko hoi
sifurukuti wala sitoboi
sipigi chafya wala sikohoi
Written by: Baraka Adrew, Barakah The Prince

