Dari

COMPOSITION & LYRICS
gideon paul magangira
gideon paul magangira
Songwriter

Lirik

Song: Je ni Nani?
Artist: Gideon Paul
Hey ey Na na na na!
Hakuna wakufanana nawe Mungu Mkuu kama weee
Hakuna wakufanana nawe Mungu Mkuu kama weee
hakuuna aaah!
Hakuna wakufanana nawe, Mungu Mkuu kama weee
Hakuna wakufanana nawe, Mungu Mkuu kama weee (oooh)
Hakuna wakufanana nawe Mungu Mkuu kama weee
Hakuna wakufanana nawe Mungu Mkuu kama weee
Je ni nani wakufanana na wewe?
Je ni nani wakulingana na wewe?
Hayupo tena kama wewe, Hayupo tena kama wewe!
Walikuwepo Miungu wakapita watakuja Miungu watapita!
Hata tokea tena kama wewe, hatatokea tena kama wewe Mungu,
Maana aaah aaah Hakuna!
Hakuna wakufanana nawę, Mungu Mkuu kama weee
Hakuna wakufanana nawę, Mungu Mkuu kama weee (oooh)
Hakuna wakufanana nawę Mungu Mkuu kama weee
Hakuna wakufanana nawę Mungu Mkuu kama weee
Hakuna
Hakuna
Hakuna
Hakuna
Hakuna
Hakuna
Hakuna
Hakuna
Hakuna
Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah Bwanaaa
Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah Bwanaaa
Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah Bwanaaa
Nitaimba sifa zako milele Bwana
Hallelujah Bwana, Every body sing say.
Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah Bwanaaa
Hallelujah
Hallelujah (We Praise your name Oh Lord)
Hallelujah Bwanaaa
Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah Bwanaaa
Written by Gideon Paul
Instagram @itsgideonpaul
TikTok @@itsgideonpaul
Facebook: Gideon Paul Magangira
YouTube: Gideon Paul Magangira
Written by: gideon paul magangira
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...