Lirik

Kutoka mbinguni kuja duniani Kwa ajili yangu mimi (Ni upendo wa Pekee) Kuiacha enzi ukaja duniani Kunikomboa mimi (Ni upendo wa pekee) Kutoka mbinguni kuja duniani Kwa ajili yangu mimi (Ni upendo wa Pekee) Kuiacha enzi ukuja duniani Kunikomboa mimi (Ni upendo wa pekee) Hukutazama makosa niliyofanya Ukayafuta yote hukuacha hata alama Tena ikakugharimu unilipie gharama ya uhai wako we (Hukutazama makosa niliyofanya) Ukayafuta yote hukuacha hata alama Tena ikakugharimu unilipie gharama ya uhai wako we Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe) Niko huru leo (niko huru leo) Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe) Nina msamaha (nina msamaha) Siko tena chini ya laana (kwa ajili yako we) Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe) Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe) Ndio maana leo nasema Daima milele Nitakupenda wewe Daima milele milele nawe Daima milele Nitakupenda wewe Daima milele milele nawe (Every body say) Daima milele Nitakupenda wewe Daima milele milele nawe Daima milele Daima milele (Nitakupenda wewe) Nitakupenda wewe (Daima milele) Daima milele milele nawe Every body say Sitaki mwingine(Staki mwingine) Sitaki mwingine(Staki mwingine) Sitaki mwingine(Staki mwingine) Ila wewe (tu) Ila wewe (tu) Staki mwingine(Staki mwingine) Staki mwingine(Staki mwingine) Staki mwingine(Staki mwingine) Ila wewe (tu) Ila wewe (tu) Hey (yeaah) Daima milele nitakupenda wewe (Daima milele) Daima milele milele nawe (Daima milele heey) (Daima milele) Yesu wewe (Nitakupenda wewe) Daima milele Daima milele milele nawe Sitaki mwingine(Staki mwingine) Sitaki mwingine(Staki mwingine) Sitaki mwingine(Staki mwingine) Ila wewe (tu) Ila wewe (tu) Sitaki mwingine(Staki mwingine) Sitaki mwingine(Staki mwingine) Sitaki mwingine(Staki mwingine) Ila wewe (tu) Ila wewe (tu)
Writer(s): Beda Andrew Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out