Lirik

Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Huenda akawa Obama, atawale Amerika Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda Huenda akawa Wanyama, acheze soka Uingereza Huenda akawa Kenyatta, Mwanzilishi Wa Taifa Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Huenda akawa Maathai, ayalinde mazingira Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania Huenda akawa Mandela, Mkombozi wa Afrika Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Nakuomba Nerea, (Nerea) Nerea(Nerea) Usitoe mimba yangu Nerea, Nerea, Nerea Usitoe mimba yangu Huenda akawa Kagame (atawale) Jaramogi Odinga (tuungane) Huenda akawa Tom Mboya Huenda akawa Rudisha Huenda akawa Malaika, Mungu ametupatia Huenda akawa Sauti Sol Huenda akawa Amos and Josh... Huenda akawa... Huenda akawa Malaika, Mungu ametupatia
Writer(s): Willis Chimano, Delvin Mudigi, Polycarp Otieno, Bien Aime Baraza Alusa, Joshua Simani, Wambua Muema Amos Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out