Lirik

Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi Ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula Ulikuwa wapi mbona umechelewa Mbona umechelewa mbona umechelewa Mbona umechelewa mbona umechelewa Nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa Hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa Kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha Mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha Mbona Mbona umechelewa Mbona umechelewa Kijiti eeeh kijiti ooh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti kimemtoboa Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti Kama midomo chongeo kachongeni penseli Mambo ya kwenye video si tunayafanya kweli Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti Unataka embe dodo ya nini urushe kote Tingisha mti kidogo chini utaziokota eeeh Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti Wa mdondo wa mdondo huyo kuku wa madoa Kamaliza mikorogo ngozi kujikoboa Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti Uuuh mwafulani mwisho wako barazani Mwafulani ushoga wa zamani kuyajua ya chumbani Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti Odo Odo wangu oooh Odo Nikidondoka unibebe Odo Odoo Odo
Writer(s): Mbwana Yusuph Kilungi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out