Dari
PERFORMING ARTISTS
Bray Star
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bray Star
Songwriter
Lirik
Dedicate for mother, I love you mama
Kutwa natafakari majibu hakuna
upendo wako umezidi mpaka nalia
Uliwasha kibatari mama, ulipozima mshumaha aah
Kukushukuru sina budi, na kukuimbia mmh
Miezi tisa tumboni, hukunikinai
Ukanizaa kwa uchungu, nakupenda mama
Miaka mingi mgongoni, hukunikinai mama
Mpaka nimekua bado unanipenda mama
Nikufananishe na nani mama wee hauna
Wakufanana nae mama hakuna
Nikulinganishe na nani mama wee haunaa aah
wa kulingana nae mama hakuna ah aah aaah mama
mama mama mama mama nakupenda mama
mama mama mama mama I love you mama
mama mama mama mama we ni shujaa
mama mama mama mama mama nakupenda
mikojo matapishi ulivumilia usiku na mchana
baba akilala wewe hukusinzia mmh
ukienda sokoni nipo mgongoni
ukienda shambani nipo mgongoni
ukienda kisimani nipo mgongoni hukuchoka
tunalewa na wapenzi wanatuongopea
kesho wanatutesa wanakimbia
ila mama nakumbuka ulinihusia yote ya kuyavumilia
namuomba mola anipe kinywa chema
ulimi usiteleze nikakukosea
ulinifunza kuwa na hila ni ubaya
Nikufananishe na nani mama wee hauna
Wakufanana nae mama hakuna
Nikulinganishe na nani mama wee haunaa aah
wa kulingana nae mama hakuna ah aah aaah mama
mama mama mama mama nakupenda mama
mama mama mama mama I love you mama
mama mama mama mama we ni shujaa
mama mama mama mama mama nakupenda
mama yangu mama nakupenda sana mama uoo huo oouooh
Written by: Bray Star