Dari
PERFORMING ARTISTS
Iddi Singer
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Iddi Hemed
Songwriter
Lirik
Huezi amini
Nnavyokuthamini
Hata pumzi yangu tugawe
Umeiteka akili
Naduwaa na si siri
Unavyonawiri ni wangu wee
Nikupe vyote
Vyangu mi
Kamwe sitaki unitoke machoni
Twende kokote
Wee na mii
Yani hutoki nakuficha moyoni
I\'m crazy
Juu ya lako penzi
Ninavyokuamini
Chaguo lako langu mii
I\'m crazy
Juu ya lako penzi
For sure you are for me
No one else could be
Babe wait a minute
Unavyonimiliki bado siamini
Moja wapo ya vitu vya ndotoni niukweli siutani
Alafu baby nakusihi
Usiweke hisia zako mbali na mi
Mwenzako nisha fall in love am not joking
I\'m going crazy
Kiplani
Na niko ready tuenjoy
Turuke juu mpaka mawinguni
Tuishi kando kando ya bahari
You and I
Nikupe vyote
Vyangu mi
Kamwe sitaki unitoke machoni
Twende kokote
Wee na mii
Yani hutoki nakuficha moyoni
I\'m crazy
Juu ya lako penzi
Ninavyokuamini
Chaguo lako langu mii
I\'m crazy
Juu ya lako penzi
For sure you are for me
No one else could be
Written by: Iddi Hemed