Video Musik

Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
Hamis Bss
Hamis Bss
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamis Bss
Hamis Bss
Songwriter

Lirik

Naitwa BWAKA TENA nipo na jey drama
Kashanikwida Rohoni balaa Bora mniite zuzu.
Mmnh Amenifanya bwege fala akili Kwa kibubu.
Nitaona jau kama sipendwi angalau tu apritend.
Ani ng\'ong\'e kisogo anizomee.
Nitapata tabu pia siwezi kuamini kama ndio YEYE.
Si alisemaga ata kufa na Mimi.
Nawapa salam atuachani nimegandana na yeye.
Tumeshibana yaani miaka buku.
 
Oonh lalala
Tumependana wenyewe Maneno yenu Mnayatupa bure.
Haturogeki uchawi wenu butu.
Nipo salama kwenye Mapenzi.
Usinifanyie vibaya (Vibaya).
Eenh Mi Sina ubaya (Ubaya).
Ona Unifanyie Vibaya (Vibaya).
Oonh Mi Sina ubaya(Ubaya).
Simu yangu Shika hakuna Mama Sita Penzi moto fire.
Naridhika Sina tamaa ukiniita tuna lala.
Oonh Sweet tamu Zaidi usinipe robo robo.
Nijazie minyama nyama mlaini kama Boko Boko.
Ya Leo tamu Zaidi ya Jana usinipe robo robo.
Nijazie nyama nyama mlaini kama Boko boko.
Nawapa salam atuachani nimegandana na yeye.
Tumeshibana yaani miaka buku.
 
Oonh lalala
Tumependana wenyewe Maneno yenu Mnayatupa bure.
Haturogeki uchawi wenu butu.
Nipo salama kwenye Mapenzi.
Usinifanyie vibaya (Vibaya).
Eenh Mi Sina ubaya (Ubaya).
Ona Unifanyie Vibaya (Vibaya).
Oonh Mi Sina ubaya(Ubaya).
Written by: Hamis Bss
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...