Dari

PERFORMING ARTISTS
D Love
D Love
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Adam Berry
Adam Berry
Songwriter
Gabus Juma Suleiman
Gabus Juma Suleiman
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Insect
Insect
Producer

Lirik

Nikureplace Mapenzi
Kama bado upo nikureplace na nani
Moyoni mwangu upo nikureplace na nani oh Babe
I swear to God upo kwenye moyo kwa ndani
Nami nimekuficha huko wasikukamate manyani
Najua una wivu majelousy
Utaliua jitu kwa risasi
Kichwani upo wewe tu basi
Umechukua yote nafasi
Najua una wivu majelousy
Utaliua jitu kwa risasi
Kichwani upo wewe tu basi
Umechukua yote nafasi
My babe Nakupenda
Nakupenda
My babe Nakupenda uuhh
Nakupenda
Oh My babe Nakupenda oooh
Nakupenda
Oh My babe Nakupenda
Nakupenda ouaaah
Moyo wangu mimi bado
Una vuguvugu lako
Hata mapenzi unaipayo babe hayatoshi dunia
Yananilevya mazoea yako
Pozi picha na mwendo wako
Nikikukosa kisukari presha ndo vitanivamia
Eh Mola wangu tulinde nikirudi sina nifute jasho
Naforce force tuvimbe kang\'ang\'ae karangi kako
Na ukiniacha wewe ndo basi
Sitopea mwengine nafasi
Nimekuzoea wewe tu basi
Ni ukweli nipo serious
Na ukiniacha wewe ndo basi
Sitopea mwengine nafasi
Nimekuzoea wewe tu basi
Ni ukweli nipo serious
My babe Nakupenda
Nakupenda
My babe Nakupenda uuhh
Nakupenda
Oh My babe Nakupenda oooh
Nakupenda
Oh My babe Nakupenda
Nakupenda
Najua una wivu majelousy
Utaliua jitu kwa risasi
Kichwani upo wewe tu basi
Umechukua yote nafasi
Written by: Adam Berry, Gabus Juma Suleiman
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...