Dari

Lirik

[Verse 1]
Ah, ka' kasoma Veta, ye' ni fundi wa mambo
Atwanga pepeta kwa vya juu viwango
Oh, raha naseleleka (Selele) mahaba hayaishi bando
Chumba ni hekaheka vita ya unyago na jando
[Verse 2]
Oh-oh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani
Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan
Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
Raha zimenipumbaza mie hoi taabani
[PreChorus]
Magharibi natafuta sababu
Bibi namtafuta babu
Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu
Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu
[Chorus]
Nitadumu nae kwa nguvu za manani
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
Nitadumu nae kwa nguvu za manani
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
[Bridge]
(Oh-oh), oh-oh (La-la-la), la-la-la (Ah-ah), ah-ah
So dawa za China si mizizi ya Congo (Ya Congo)
Nampa mchai chai na supu ya kamongo (Kamongo)
Oh, full stamina anibeba kwa mugongo (Mugongo)
Mambo ya kwenye mtima sio kupendana kwa hongo (Kwa hongo)
[Verse 3]
Oh-oh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani
Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan
Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
Kwa raha zimenipumbaza mie hoi taabani
[PreChorus]
Magharibi natafuta sababu, oh-oh
Bibi namtafuta babu
Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu
Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu
[Verse 4]
Nitadumu nae kwa nguvu za manani (Nguvu za manani, nguvu)
Jaribuni baadae (Oh-oh), kwa sasa hapatikani (Nimemuweka ndani)
Poleni miungu watu mahodari wa kutabiri (Nitadumu nae kwa nguvu za manani)
Hatuachani katu roho zimeungana na miili
[Outro]
Anatembea na roho yangu, anatembea na mwili wangu
Anatembea na pumzi zangu
Mimi, mimi, mimi
Written by: Yasin Shaban
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...