Dari
PERFORMING ARTISTS
Maua Sama
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Maua salehe Sama
Songwriter
Shariff Said Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Genius Jini X66
Producer
Lirik
[Verse 1]
Ntampata wapi jamani
Atae nipa amani
Muda wote burudani
Ooh
[Verse 2]
Kwenda nje nsitamani
Waniulizie majirani
Yuko wapi huyu jamani
[Verse 3]
Simu yake niikimbilie
Ole wake anifanye nilie
Niwe wake ye wakwawangu mie
Hayo mapenzi niko radhi nisiwasikie
[Chorus]
Jama kama uyo, ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo, ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Ntampata wapi
[Verse 4]
Yeye tu nikilala nimuote yeye tu
Nipo chin aje juu, taratibu akinipa mavitu
Anipe utamu kila siku, kwa ujazo asifanye kiduchu
Apo tu roho kwatu, nikishushia na supu
[Verse 5]
Niwe wake awe wangu
Changu chake, chake changu
[Verse 6]
Simu yake niikimbilie
Ole wake anifanye nilie
Niwe wake ye wakwawangu mie
Hayo mapenzi niko radhi nisiwasikie
[Chorus]
Jama kama uyo, ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Ntampata wapii baby
Written by: Maua salehe Sama, Shariff Said Juma

