Dari
PERFORMING ARTISTS
Collo
Performer
Collins Majale
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Collins Majale
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lucas Bikedo
Producer
Lirik
Extraordinary by Collo
VERSE 1:
Yes
Tunazi-drop kama hours glass
Rhymes za mwagika In Abundance
Mic nikishika nikundyalala na
Juu ya beat naanguka kama avalanche
Tabasam
makes sure umepata some.
Uskie utam, na
Kaa Ina-slap confirm
Nimeshikila hii game for long kwa palm
Usiniliete monkey, no
Orangoutangan ha
Bado Niko
Ni muhimu kukapitia
Juu chini kama see saw
Wapi ratili?, Pima hisia
Hivyo leo basi tunasababisha
Ndo tutande sanaa i-pay.
Wasanii nawakilisha
Ambia Wadau wafike bei Ausiyo???
HOOK:
Mi hukuwa Extra (Extra)
Mi hukuwa Extra ODI Nare
Ndio maana niko Extra (Extra)
Eh Bana niko Extra ODI Nare
Men am so Extra (Extra)
Extra ODI Nare
Kila kitu ni Extra (Extra)
Kila kitu ni Extraordinary
VERSE 2:
Full circle (enhe)
Hii life huwa Full circle (woo)
Tulichangia quarter, zika pita nusu
Na pia kuna truth hapo
Look up in the sky/ you guy
I and I fly Too high (Collo)
Saa ndio na ripe, no bi lie!
Si watafurahi furahia
Nikiskia hii muziki
Nikiskia miuchizi
Wacha niseme cha uwela (eh)
No chichi, mi niwa makwela
Sio kesi,
Mbona huongezi?
Volume iko sawa
Kuna dawa
Saa ndio kuna chacha
Kaa ni kikulacho unakacha
Juu ninikimacho and I gotchya
HOOK: (X2)
Mi hukuwa Extra (Extra)
Mi hukuwa Extra ODI Nare
Ndio maana niko Extra (Extra)
Eh Bana niko Extra ODI Nare
Men am so Extra (Extra)
Extra ODI Nare
Kila kitu ni Extra (Extra)
Kila kitu ni Extraordinary
VERSE 3:
Mistari ukiitisha, wueh jua utapewa
Kuna wale wanachora, na wale huchorewa
Delivery ni simple lakini tofauti
Ni Collo Generali,
Mistari ukiitisha, wueh jua utapewa
Kuna wale wanachora, na wale huchorewa
Delivery ni simple lakini tofauti
Ni Collo Generali, piga saluti.
Written by: Collins Majale