Dari

PERFORMING ARTISTS
Brian Lorenzo
Brian Lorenzo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Brian Bamwenda Kafuruki
Brian Bamwenda Kafuruki
Songwriter

Lirik

Chorus:
Twende nalo, mpaka mwisho wa mwaka
Twende nalo, nalo mpaka mwanzo wa mwaka
Mpaka Ei!
Eh eti boss, weka beat kali, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo!
Eh eti boss, weka beat kali, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo!
Verse 1:
Ey, Time to chase chips
It's hard to miss, but easier to make the list
I feel the mix, so deejay turn up and switch
I see the drip, and love when she kiss my lips
Like mxwaah!
After this, I wanna go back and hit
Then stack a brick and build with my activist
Mathematical I m all about the calculus
Tell them all you wanna ball like the ballon dor
One time for the haters, we love you more
So you wanna understand why and what for?
You can never be my equal, we cant draw
Oh oh, the purple got me slow ow
I need cash on delivery, C.O.D
Airplanes in the sky, like B.O.B
Team Baridi!
Chorus:
Twende nalo, mpaka mwisho wa mwaka
Twende nalo, nalo mpaka mwanzo wa mwaka
Mpaka Ei!
Eh eti boss, weka beat kali, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo!
Eh eti boss, weka beat kali, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo!
Verse 2:
Hatimaye umefika, (na nimekuja na coin)
Zingatia na live goal, (usiwaze host hatupoi)
Hatimaye umefika, (na nimekuja na coin)
Zingatia na live goal, (usiwaze host hatupoi)
Jikokote simama Twende
Kina mama simama Twende
Wazee simama Twende
Watoto simama Twende
Tap tap share na ulike
Tap tap share na ulike
Tap tap share na ulike
Chorus:
Twende nalo, mpaka mwisho wa mwaka
Twende nalo, nalo mpaka mwanzo wa mwaka
Mpaka Ei!
Eh eti boss, weka beat kali, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo!
Eh eti boss, weka beat kali, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo, twende nalo, twende nalo
Twende nalo!
Written by: Brian Bamwenda Kafuruki
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...