Dari

PERFORMING ARTISTS
Noelle
Noelle
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Noelle
Noelle
Lyrics
Peter Mundia
Peter Mundia
Lyrics
Stephen Mungai
Stephen Mungai
Lyrics
Brian Mugusu
Brian Mugusu
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Jamaine
Jamaine
Producer
Kayo Rille
Kayo Rille
Mastering Engineer

Lirik

Ayy Makarena Makarena Makarena
Moves za kibazenga, mi hukuanga big steppa
Mi nagrind on the daily, mi hukuanga paper chaser
Ayy makarena
Ayy Makarena Makarena Makarena
Halima anatesa akishadunga hio dera
Niko munchies ye ni snack, mi nataka tu kudema
Ayy makarena
Baby girl aki-arc ulimi inabaki njei
Akiset standards, lazima nifike bei
Aki-misuse my cash, mi simind, sicomplain
Nikona issues na TRUST, uku pull out ndio game
Kama Mr. Tee nakudigi
Mi humwitanga Kiki ameniacha in my feelings
Wangari Mathai vile ye hupendanga miti
Nyuma ni Majimaji na sibongi Gidigidi
Risky, risky yes your body risky
Cheza down low, ipeleke mpaka chini
Niko fifty fifty, yaani siamini
Ukivaa dera design unaget freaky
Risky, risky, yes your body risky
If you had a twin, nyi wote joh ningewateka
In disbelief, nikikucheki na hio mini
Anamake it clap mi humwitanga nyash bender
Ayy Makarena Makarena Makarena
Moves za kibazenga, mi hukuanga big steppa
Mi nagrind on the daily, mi hukuanga paper chaser
Ayy makarena
Ayy Makarena Makarena Makarena
Halima anatesa akishadunga hio dera
Niko munchies ye ni snack, mi nataka tu kudema
Ayy makarena
Nikiwa wa washa shada, hio aroma hujaa kejani
Kama pegs mbichi zimeningwata, mali ya ulaya hii sio manyasi
Nikiwa wa washa shada, hio aroma hujaa kejani
Kama pegs mbichi zimeningwata, mali ya ulaya hii sio manyasi
Safisha, safisha, safisha rada
Alafu wakisha wakisha wakisha shadda
Ni magizani si uziskizianga
Tukitake flights kama zile za Santa
Safisha, safisha, safisha rada
Alafu wakisha wakisha wakisha shadda
Ni magizani si uziskizianga
Tukitake flights kama zile za Santa
Ayy Makarena Makarena Makarena
Moves za kibazenga, mi hukuanga big steppa
Mi nagrind on the daily, mi hukuanga paper chaser
Ayy makarena
Ayy Makarena Makarena Makarena
Halima anatesa akishadunga hio dera
Niko munchies ye ni snack, mi nataka tu kudema
Ayy makarena
Written by: Brian Mugusu, Noelle, Peter Mundia, Stephen Mungai
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...