Dari

PERFORMING ARTISTS
Xouh
Xouh
Performer
James Pascal Nyoaza
James Pascal Nyoaza
Accordion
COMPOSITION & LYRICS
Ramadhan Daniel
Ramadhan Daniel
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
James Pascal Nyoaza
James Pascal Nyoaza
Producer

Lirik

Kuna binadam nampenda
Aii, Jamani ameniweza
Naona analiyumbisha dish la moyo wangu
Kiukweli ameniweza
Mpenzi ninae na natamba nae
Sikuizi naoga vizuri napenda
Na ninavyo nona msinishangae
Sikuizi nala vizuri nalala nae
Nampenda kuliko kula
Nampenda kuliko hela
Asa nani anabisha
Na sasa nishaacha usela
Msitake nikafie jela
Eti nani ananbisha
Nimuache huyu ni nani kasema
Mbona mwingine mi sima tena
Nimempa mwili akili na mta
Maana mwingine mi sina tena
Zingatia Body mcheki sura
Jamani anapendeza tumpe maua yake
Penzi nalipia kodi kugharamia
Muoneni anapendeza na vimacho vyake
Mpenzi ninae na natamba nae
Sikuizi naoga vizuri napenda
Na ninavyo nona msinishangae
Sikuizi nala vizuri nalala nae
Nampenda kuliko kula
Nampenda kuliko hela
Asa nani anabisha
Na sasa nishaacha usela
Msitake nikafie jela
Eti nani ananbisha
Nimuache huyu ni nani kasema
Mbona mwingine mi sima tena
Nimempa mwili akili na mta
Maana mwingine mi sina tena
Mliko single nawasabahi
Hi Hi Hi Hi Hi Hi
Na ubachela nishauaga
Bye Bye Bye Bye Bye
Written by: Ramadhan Daniel
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...