Video Musik
Video Musik
Dari
PERFORMING ARTISTS
Shanboy
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Olivo Haule
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sun v
Producer
Lirik
Shanboy yeah
Shishii
Sun V on the beat
Ee Mungu Baba Mimi hapa
Nimekuja naomba baba nipokee
Maana binadamu wabaya sana
Na wamepanga wanataka nipotee
Kutwa Maneno Yao
Vikwazo Vyao
Nipe nguvu baba
Mimi Nipigane Nao
Wenye roho za Mbogo
Wanafiki Hao
Ning'arishe Baba
Mimi Ning'ae Mbele yao
Ohh salale
Baba ni Mimi huyohuyo
Maisha yangu ya chini ila Mimi Bado nawindwa
Kutwa Mipango Yao Kunidondosha hivo
Mafanikio yangu wao hawayataki kabisa
Nipe Nguvu Baba
Japo hata Kwa lisaa
Niwaonyeshe wao walau
Kwamba wewe Mungu wangu
Nishachoka zao tamaa
Kutwa kutamani vyangu
Hata dogo ninalofanya
Kwao ni majungu
Nibariki Mimi Baba
Niwe Juu yao labda
Watatulia
Nipumzike hata
Kutwa yangu macho
Yanatoa machozi
Nipe nipendacho
Nifute langu chozi
Ee Mungu Baba Mimi hapa
Nimekuja naomba baba nipokee
Maana binadamu wabaya sana
Na wamepanga wanataka nipotee
Kutwa Maneno Yao
Vikwazo Vyao
Nipe nguvu baba
Mimi Nipigane Nao
Wenye roho za Mbogo
Wanafiki Hao
Ning'arishe Baba
Mimi Ning'ae Mbele yao
Oooh yeeeeh Ooh jeaah
Ooooh yeeeeeh ahhh
Karibu Kila harakati hapa mjini nshafanyaa
Nikiamini
Ipo siku nitatoboaa
Ila cha ajabu ukiniomba hata teni now sinaa
Mbaya zaidi
Najituma mnajuaa
Nishawaomba waliofunga milango wanifunguliee
Niingie
Nifanikiwee
Na wamegoma furaha Yao kuniona Mi niumie, mimi nilie
Wafurahie
Nishaendaga kwa waganga kusafisha nyota (bado)
Nikategemea binadamu kumbe (Tatizo)
Nimeamua nirudi mwenyew mazima (Kwako) Ohh Sir God eeh Nipokee
Ee Mungu Baba Mimi hapa
Nimekuja naomba baba nipokee
Maana binadamu wabaya sana
Na wamepanga wanataka nipotee
Kutwa Maneno Yao
Vikwazo Vyao
Nipe nguvu baba
Mimi Nipigane Nao
Wenye roho za Mbogo
Wanafiki Hao
Ning'arishe Baba
Mimi Ning'ae Mbele yao
Mix boy
Written by: Olivo Haule