Dari
PERFORMING ARTISTS
EMKAY64
Performer
Daniel Amos Maina
Melodica
COMPOSITION & LYRICS
Daniel Amos Maina
Songwriter
Lirik
[Verse 1]
Sura ya rais kwa mfuko ndio kitu mimi nadai
Nikivunja sheria afande anakunywa chai
F being sober nkilala ndio uwa siko hai
Naishi mara moja so wacha tu nienjoy life
[Verse 2]
Lete iliwe hatukai, ukiwa mnoko hautufai
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza eh
[Verse 3]
Hustler fund wananitext naona soon navunja line
Dem anataka tu s#x anipe tu kijirani
Big ndanda ugly face poa tu ntatia sign
After tumemalizana, b##ch please chukua time
[Verse 4]
Wanadhani ni maadui mimi ata siwafagilii
Ngoma zao siziijui sababu si afatilii
Nikiwa streety
Mimi uwa sio msanii wee ni ma ti ti
Usikuje huku ni kwa ma g
[Refrain]
Utaniudhi utaniudhi utaniudhi, utaniudhi, utaniudhi
Unaongea sana mbona hunyamazi
Mimi sio mbuzi mimi sio mbuzi mimi sio mbuzi mimi sio mbuzi
Mi ni emkay mwenye mbuzi mfugaji
[Verse 5]
Sura ya rais kwa mfuko ndio kitu mimi nadai
Nikivunja sheria afande anakunywa chai
F being sober nkilala ndio uwa siko hai
Naishi mara moja so wacha tu nienjoy life
[Chorus]
Lete iliwe hatukai, ukiwa mnoko hautufai
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza eh
[Verse 6]
Maoni yako jiwekee
I do what I like I don't care
Ungejua ninapotokea wengi wamepotea
Ukiona kama nakosea kubwa kubwa tembea
Ukiona kama nakosea kubwa kubwa tembea
[Refrain]
Wooza wooza wooza wooza wooza wooza wooza
Zoza zoza zoza zoza zoza zoza zoza
[Verse 7]
Sura ya rais kwa mfuko ndio kitu mimi nadai
Nikivunja sheria afande anakunywa chai
F being sober nkilala ndio uwa siko hai
Naishi mara moja so wacha tu nienjoy life
[Chorus]
Lete iliwe hatukai, ukiwa mnoko hautufai
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza shh
Rap haiuzi ntauza eh
Written by: Daniel Amos Maina

