Dari
PERFORMING ARTISTS
Bargoss
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Bargoss Official
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
The toto
Photography
Blay Beatz
Recording Engineer
Lirik
Yaaah yaaaa yaaaa
Irbajo... Uyoooo yoooo
Ona na na...
Lody Music
Nilipo kuona, moyo ulipohoza mwili
Nadunda dunda, kutambara mbili mbili
Nikajikuta nikasema, siku fanya siri, siku fanya siri
Kapita sasa mwaka, penzi ndo limepamba
Sijabagwa, nimependa, uwe na boga wetu
Wanasema ya kwamba umeniloga, umeniloga, umeniloga
Zile message za moral unazonitumia
Baby nikiwa mbali, ndizo zinazonipa nguvu
Basi nisubiriye, naomba tafadhali
Kote nilipopita, wote niliowaona
Weye… umenifanya nikupende
Kama si wewe – nani?
Kama si wewe – nani?
Kama si wewe – nani?
Kama si wewe – nani?
(Break)
Hmmm…
Na lingiyo mon bébé
Send your picture photo
Na craka yo ma chérie
Sh, come, your biker moto
Na utamu wako umezidi biriyani
Kama ni chakula, kimekuja siniyani
Uumbaji wako sijawahi kuona duniani
Apa duniani, apa duniani
Oleki bango ma chérie
Nyiso yanga ma baby
Ulisema uniache, mimi nitalia sana…
Sana…
Kote nilipopita, wote niliowaona
Weye… umenifanya nikupende
Kama si wewe – nani?
Kama si wewe – nani?
Kama si wewe – nani?
Kama si wewe – nani?
Yaaaah yaaa yaaaa…
Lody Music...
Bargoss…
Written by: Bargoss Official