Dari
PERFORMING ARTISTS
Flier
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Benson Mhando
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Flier
Producer
Lirik
Utasare hizo keys
Za mlango hapo down na mawochi
Mi na weh hatuna biz
Tangu udecide mi ni potty
Long time nimegich
Lakini nika try kujiconvince
Ati hauezi cheat
Ona saa hii ni machozi
Kama tu ni kukupenda wajua nilitry
Kila siku nilikubembeleza mpenzi unidai
Ulichotaka nilitafuta pesa ilinikuwai
Ukweli ni siwezi kukuweka mahali haudai
Utasare hio ring
Nilikupa ile time kwa magoti
Utasare everything
Nilibuy kuku surprise si huyo other guy akusotingi
Please
Sare lies ati hujawai gai mi si ka pimbi
Tears in my eyes tangu juzi
Kama tu ni kukupenda wajua nilitry
Kila siku nilikubembeleza mpenzi unidai
Ulichotaka nilitafuta pesa ilinikuwai
Ukweli ni siwezi kukuweka mahali haudai
Ulinichanganya ka selecta
Kila kitu ulichotaka nilileta
Kila kitu nilifanya kukuweka
Moyo wangu ulikanyaga ka mkeka
Mbona ulihepa bae?
Si ulisema unanifeel
I hope anaku mistreat
I hope anakaside piece kando kwa street
Ndio ujue vile nilifeel
Vile ulidecide kuniplay
Na cry to this day, baby
Still, na feel some typa way
Na inacome na waves
Sija heal
Kila night and day nina fight within
Kama tu ni kukupenda wajua nilitry
Kila siku nilikubembeleza mpenzi unidai
Ulichotaka nilitafuta pesa ilinikuwai
Ukweli ni siwezi kukuweka mahali haudai
Written by: Benson Mhando