Video Musik
Video Musik
Dari
PERFORMING ARTISTS
Moni Centrozone
Performer
Country Wizzy
Performer
S2Kizzy
4-String Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Awadhi chami
Songwriter
Ibrahim Ayoub Mandingo
Songwriter
William Limo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lirik
S2kizzzy Baby
Chorus
Naenda kama pele au maradona
Naenda kama pele pele maradona
Unjani Man,
Kumbe unajua swahili habari gani?
Uhali Gani hakuna pombe hakuna pisi hatulali ndani,
Nakuna mtoto mkali kama namuona Muona muona,
Na naskia harufu kule kwenye kona kona kona,
Baba we kiswashe nipo tutanyonya nyonya nyonya,
Alafu chek mapolisi watatuchoma choma choma,
You know what i mean
Ukiniona mimi,
Mambo ya kijinga mi sifagilii,
And money is the key,
Ukiplus na weed,
Siku hizi mambo ya mapenzi hatufanyi for free
Naenda kama pele au maradona
Naenda kama pele pele maradona
Moni Centrozone Verse
Unjani man
Kumbe unaelewa swahili habari gani! ,
Uhali Gani hakuna pisi hakuna pombe hatulali ndani,
Na vile navoingia kati mi sina wasi wasi
Kwenye rizki sifosi zangu mosi mosi
Aaf keti kwa busati ,upige basmati,
Huku tumejazana wandewa usije Ndosi Ndosi,
Michezo ya shabaha nikilenga sikosi kosi,
Navowasaha pilipili ile kidosi dosi!
Nini maana ya vitambo?! Anh noti noti!
Aaf tunacheza uhmlando totsi totsi!
Niko na bebe pasua kichwa ina michezo kama sita,
Aaf inapuza tu masheesha!
Tukishaoza nyama chisa!
Nikila nalipa nasepa belle tisa!
Naenda kama pele au maradona
Naenda kama pele pele maradona
Written by: Awadhi chami, Ibrahim Ayoub Mandingo, William Limo