Video Musik

Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
Maandy
Maandy
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mitchelle Wambui
Mitchelle Wambui
Songwriter

Lirik

[PreChorus]
Leo nimepiga kamini
So tight hadi siketi chini
Mbona tumeiva ivi
Figure fiti imejichora ndani ya mini
[Chorus]
Mini, mini
Mimi na kamini
Mini, mini
Mimi na kamini
[Verse 1]
Kazi yangu ni kuchokoza na jiji
Kitu nilipewa nizifungie kwa nini
Terrorist nikiangusha pale IG
Rahisi kulipuka Hiroshima Nagasaki
[Verse 2]
Unanitaka utawezana na huyu buddy
Naitwa Wambo so ufala sitakangi
Vitu zingine ukivaa we ni gwangi
Approach ukidai lakini sa hii ni ya mbwa kali
[Refrain]
Nimebeba two gloves ID
Niko on the rounds nikipigishwa mashots Westy
Huyu gaidi simjui lakini sijali
Anaicontrol naona akienda home na mi'
[PreChorus]
Leo nimepiga kamini
So tight hadi siketi chini
Mbona tumeiva ivi
Figure viti imejichora ndani ya mini
[Chorus]
Mini, mini
Mimi na kamini
Mini, mini
Mimi na kamini
[Verse 3]
Pretty girl, slim fig full figure fiti
Vaa vile unadai, unaogopanga nini
Cocoa butter, izi lips huwanga greasy
Club nikifika niwahurumie kwa nini
[Verse 4]
Kifua fear risky ongeza short ya whisky
Kiuno ikisonga we ifwate hadi chini
Kamini bila nini, kamini bila mh
Fatherless behaviour unampea credit ya nini
[Refrain]
Ass imebeba two gloves ID
Niko on the rounds nikipigishwa mashots Westy
Huyu gaidi simjui lakini sijali
Anaicontrol naona akienda home na mi'
[PreChorus]
Leo nimepiga kamini
So tight hadi siketi chini
Mbona tumeiva ivi
Figure fiti imejichora ndani ya mini
[Chorus]
Mini, mini
Mimi na kamini
Mini, mini
Mimi na kamini
Written by: Mitchelle Wambui
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...