album cover
Embargo
5.456
World
Embargo dirilis pada 1 Januari 1998 oleh Mondo Melodia sebagai bagian dari album Ya...
album cover
AlbumYa...
Tanggal Rilis1 Januari 1998
LabelMondo Melodia
Melodiksi
Level Akustik
Valence
Kemampuan untuk menari
Energi
BPM87

Video Musik

Video Musik

Dari

Lirik

Leo nasaili
Ju mimi sikuelewa mambo yale
Unasema embargo
Ni njiya ya kuleta amani kwangu
Kwa vile naona
Ni watu wanahangayika bure
Unisamehe sana
Ju mimi sione uzuri wake
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Inci inazimiya
Inakosa dawa na cakula
Ni amani gani
Inaleta njala na maladi
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Written by: Khadja Nin, Nicolas Fiszman
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...