album cover

Lango

56.362Christian & Gospel2026
album cover
Lango dirilis pada 28 Juli 2026 oleh Neema Gospel Choir sebagai bagian dari album Lango - Single
Dirilis28 Juli 2026
LabelNeema Gospel Choir
BPM109
Melodiksi
Level Akustik
Valence
Kemampuan untuk menari
Energi

Lirik

Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Liko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Na wote waingiao
Watapata nafasi
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Liko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Na wote waingiao
Watapata nafasi
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Yesu ndiye lango hili
Hata sasa ni wazi
Kwa wakubwa na wadogo
Tajiri na maskini
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Hili ni lango la raha
Ni lango la rehema
Kila mtu apitaye
Hana majonzi tena
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango Lango
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
Ayaayayaa
Ayaayayaa
Ayaayayaa
Ayaayayaa
Ayaayayaa
Ayaayayaa
Ayaayayaa
Written by: Fredrick Japhet Kilago

Footer Shazam

Pilih bahasa:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Ikuti Kami

Loading...