album cover
Makeke
album cover
Makeke dirilis pada 25 September 2026 oleh MdogoSajentTZ sebagai bagian dari album Makeke - Single
25 September 2026
LabelMdogoSajentTZ
BPM131
Melodiksi
Level Akustik
Valence
Kemampuan untuk menari
Energi

Video Musik

Video Musik

Lirik

Nimekumisi My Sweet niko hoi
nashindwa kupumua baby
Ukipandisha ibirisi ukinipa yani
unanijulia baby
Unajuaa
Alafu kuna Wao kuna wewe
Wao So kama wewe
Wao na Wewe
Wao sio kama Wewe
Aah Minapenda Ukideka
Mi napenda Ukicheka
Mi napenda Naona Raha
Mi napenda ukicheka
mi napenda ukideka
Mi mwenzako naona raha
Umenipa nini naona raha
ili penzi jamani lanizidia
kama mgonjwa Odini nataka dawa
We ndo kiboko yani unaniwezea
Basi punguza Make make
Makeke make
Make make
Make
Punguza Make make
Make makeke make make
Make
Baby Punguza Kidogo
mana uzito unanielemea
Baby punguza kidogo
uzito nashindwa kutembea
Kuna muda Unanipaga Chumbani
kuna muda unanipa sebleni mamaa
unanifundisha
Kuna muda unanipa chumbani
kuna muda unanipa sebuleni
Mama utanidedisha
Minapenda Ukideka
Mi napenda Ukicheka
Mi napenda Naona Raha
Mi napenda ukicheka
mi napenda ukideka
Mi mwenzako naona raha
Umenipa nini naona raha
ili penzi jamani lanizidia
kama mgonjwa Odini nataka dawa
We ndo kiboko yani unaniwezea
Basi punguza Make make
Makeke make
Make make
Make
Punguza Make make
makeke make make
Make
Written by: Kennedy Joseph Raphaely, Mdogo Sajenttz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...