Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma
Wilson Ouma
Songwriter

Lirik

Willy Willy, uu Willy Paul yoyoo yoyoo yoyoo ooh Tumba tumba tumba tumba eeeh Tumba tumba tumba tumba eeeh Richie Bitz Kama ni kachumbari, ooh tulikula lala Kama ni katurungi, ooh tulikunywa lala Kama ni kauji, ooh tulikula lala Hata kapepsi no, ooh tulikosa sana Zaidi ya maji, ooh nasiutani rafiki rafiki Ooh nasiutani rafiki rafiki Ooh Nasiutani Ooh ooh ooh ooh Uu Lala salama, baba ulale salama Uu lala salama, baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Oh tangu uondoke Mama amekuwa akiteseka sana Na magonjwa kwa kupigwa Kwa kurushwa nanana Kwa kupigwa kwa kukandwa kwa kurushwa aaaa Bado Jalali ametulinda, akutuacha tuangamie Bado Mwenyezi ametulinda, akutuacha tuangamie Kabla uondoke ulitambua kanilikua sanii Nikafanya Rabuka, nikafanya ni sitolia, nikafanya Ni mpenzi Na sasa you never know Uu lala salama, Baba ulale salama Uu lala salama, Baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Majirani wakuulizia msela ulienda wapi Wateja wauulizia fundi alienda wapi Watoto wauulizia jamani ulienda wapi Watoto wauulizia baba Willy alienda wapi Inabidi Niwadanganye, Eeh Baba ako ofisini Inabidi niwadanganye, Baba ameitwa kazi Ooh inaniuma Ooh inaniuma Ooh inaniuma aah Moyoni inachoma moyoni inachoma moyoni inachoma aah Uu lala salama, Baba ulale salama Uu lala salama, Baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Jalali akulinde akuweke pema peponi Jalali akulinde akuweke pema peponi Uu Lala Salama, Baba ulale salama Uu Lala salama, Baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Eeeeeh ooooh eeeeh oooh Salama salama salama Salama Salama salama salama
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out