Testi

Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Oooh nitaimba sifa zako mbele ya watu wote Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Mungu nasema asanti Baba Nasema asanti kwa wema Wako Nakushukuru, nakushukuru Wewe Umenitendea makubwa Nainua Jina Lako, natukuza Jina Lako Unastahili Baba, Unastahili kuinuliwa Unastahili sifa na utukufu Wewe ni wa ajabu Umenilinda Baba, Umeniponya Umeniinua, Umenibariki Haleluya Jehova Jire Nakuinua, nasema asanti Baba, asanti kwa wema wako Nakushukuru, Wewe ni Alpha na Omega Wewe ni mwanzo na ni mwisho Hakuna mwingine Baba Haleluya nakupenda, nakuinua, nakutukuza Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina. Nasema asanti kwa Mungu wangu Nasema Asanti kwa wema wako Kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.
Writer(s): Aaron Fanyana Mayisa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out