Video musicale

Hello Baby - Avril ft Ommy Dimpoz
Guarda il video musicale per {trackName} di {artistName}

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Avril
Avril
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Avril
Avril
Songwriter

Testi

Mwanzo nilimwambia Akifika tu Nairobi Kuna manzi wengi asishangae Tena nikamwambia Hata siku akirudi Kila mtu ajue mi niko naye Mtoto mzuri niko naye Nampenda leo, kesho na baadaye Nimwambie nini mpaka afurahi Kuwa niko naye Umbo zuri, hips, I don't lie Nipende, nikupende mpaka washangae Japo niko Dar nitakuja baadaye Unipe nifurahi Hello, baby, japo niko mbali Naomba penzi langu utambue Hello, baby, wala usijali Na mimi tunda langu ntunzie Hello, baby, japo niko mbali Naomba penzi langu utambue Hello, baby, wala usijali Na mimi tunda langu ntunzie Mapenzi yamenivutia Mpaka natamani urudi Tuje kuishi wote Dar Es Salaam ah Nahisi kuchanganyikiwa Kwa huyo binti wa Nairobi Nachohitaji, kuishi naye Kijana mzuri niko naye Nampenda leo, kesho na baadaye Hata waseme nitadumu naye Ye hufanya nifurahi Ana tabia nzuri, he don't lie Kwa penzi lake mpaka nazirai Kabla hajafika mi nimeshawahi Kweli najidai Hello, baby, wala usijali Na mimi tunda langu ntunzie Hello, baby, japo niko mbali Naomba penzi langu utambue Hello, baby, wala usijali Na mimi tunda langu ntunzie Hello, baby, japo niko mbali Naomba penzi langu utambue Bas' come now Si ukuje now Wasikurubuni hao washika dau Ukanidharau, ukanisahau Sitakubali, no, no, no Bas' come now Si ukuje now Wasikurubuni hao washika dau Ukanidharau, ukanisahau Sitakubali, no, no, no Hello, baby, japo niko mbali Naomba penzi langu utambue Hello, baby, wala usijali Na mimi tunda langu ntunzie Hello, baby, japo niko mbali Naomba penzi langu utambue Hello, baby, wala usijali Na mimi tunda langu ntunzie
Writer(s): Avril Nyambura Mwangi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out