album cover
Tulia
591
Christian & Gospel
Tulia è stato pubblicato il 15 agosto 2016 da LIEUTENANT EMPIRE come parte dell'album Tulia
album cover
AlbumTulia
Data di uscita15 agosto 2016
EtichettaLIEUTENANT EMPIRE
LinguaEnglish
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Crediti

Testi

Amesema utulie
Amesema utulie
Amesema utulie
mwenzangu nakuona, umekazana sana,
kila kunapokucha, mawazo yakubana,
bidii umetia, pia kupambana,
maneno umenena kwenye sala,
umekesha kuomba, fungu la kumi
umetoa,
pia kufunga, lakini bado bado,
umekesha kuomba, husichoke kuomba,
mkono wake si mfupi, utakufikia tulia,
hajawahi chelewa wakati wake mwema, tulia,
husife moyo kilio amekisikia,
tulia,
husichoke kuomba piga moyo konde,
tulia,
imani tu, imani tu, imani kwake,
tazama juu, msaada wako watoka juu,
kutoka chini, mola atakuweka juu,
na ushawahi, ona uzio unaozidi kusoma juu,
na ushawahi, jiuliza mbona hausomi
juu,
ni kwa sababux2, muda wao umefika
tu,
vumilia tu, muda wako utafika tu,
na ukiwadia, hakuna ambaye atazuia,
ukitimia, hatazuia,
hajawahi chelewa wakati wake mwema, tulia,
husife moyo kilio amekisikia,
tulia,
husichoke kuomba piga moyo konde,
tulia,
(imani juu, imani juu imani kwakex3),
tazama juu, msaada wako watoka juu,
kutoka chini, mola atakuweka juu,
na ushawahi, ona uzio unaozidi kusoma
juu,
na ushawahi,,
hajawahi chelewa wakati wake mwema,
tulia,
husife moyo kilio amekisikia,
tulia,
husichoke kuomba piga moyo konde,
tulia,
(imani juu, imani juu imani kwakex3),
Written by: Ross Beach
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...