album cover
Muda
248
African
Muda è stato pubblicato il 4 luglio 2017 da Lilo Mziki come parte dell'album Muda - Single
album cover
Data di uscita4 luglio 2017
EtichettaLilo Mziki
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM90

Video musicale

Video musicale

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Chidi Benz
Chidi Benz
Performer
Q Chillah
Q Chillah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Chidi Benz
Chidi Benz
Songwriter
Q Chillah
Q Chillah
Songwriter

Testi

ahsante baba leo ni siku nyingine
naomba mkate mwingine
ni kwa baraka tuu, ni kwa baraka tuu, ni kwa baraka tuu
mbuzi hula kwa urefu wa kamba yakee
mungu nijalie na mimi nipate mkatee!
muda niliopoteza hawawezi kufidia
gharama za maumivu hawawezi kufidiaa! (eeh)
Dar es salaam bila kingkong is not true Dar es salaam bila chuma we back mikono juu
kingkong chuma ilala mabegani
kazi najiituma sauti ya duniani
ndo mimi pekee mnajua mwingine ni nani
Niko pale nimeshika namba yangu one
mateso ya dunia nishapita, nishaumia wengi wamenipania ila nipo kwenye njia
nakimbiza mchakamchaka na sichoki siogopi mungu amenipa nyota wengine wanacopy
nishapita shida nyingi, msoto chakalaa
nishapoteza shilingi, msoto majalaa
mama ndo pekee anaejua na machozi yanatoka
namwambia usijali mwanao ntatoka
marafiki walipotea na wakaongea
wanafiki walisogea na wakachekelea
Written by: Chidi Benz, Q Chillah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...