album cover
Matokeo
album cover
Matokeo è stato pubblicato il 20 gennaio 2014 da Gloria Muliro come parte dell'album Msaidizi
20 gennaio 2014
EtichettaGloria Muliro
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Testi

[Intro]
Sasa nangoja matokeo
Sasa nangoja matokeo
Sasa nangoja matokeo
Kutoka kwako Jalali
[Verse 1]
Mimi nimefanya mitihani mingi sana ah
Nimepitia, madarasa mengi sana ah
Kwa kila darasa, Yahweh umekuwa mwalimu wangu
Umenifunza kuomba, umenifunza subira
Umenifunza kungoja Baba
Nimekuwa mwanafunzi mwema
Kwako Baba
[Chorus]
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali

[Verse 2]
Usiku mrefu, mbona hakupambazuki
Nimejaribu sana kukupendeza maishani mwangu
Nimefanya kazi yako, hiyo umeona Yesu
Nimetoa fungu la kumi, hiyo umeona Baba
Nangojea, nangojea, matokeo yangu
Ulisema nikitoa nitabarikiwa
[Chorus]
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
[Bridge]
Asubuhi ikifika, ije na kicheko
Asubuhi ikifika, ije na amani
Asubuhi ikifika, ije na furaha
Asubuhi yangu ikifika, ije na jibu langu
[Chorus]
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Sasa nangoja matokeo, kutoka kwako Jalali
Written by: Gloria Muliro
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...