Testi

Onnananaah Them call me Arrow Boy, ah me say oh yeiiyeah Baby cheza Kill him with the love, baby kill him with the loooove Dollar kwa meza Signal, nipe signal Baby cheza Kill him with the love, baby kill him with the loooove Dollar kwa meza Signal, nipe signal Napenda unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa (sawa) Eeeyyy na kichaaa Unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa (sawa) Mmmhhhmmmhh na kichaaa Wacheze kamare, Baby usiseme no pitishie waist Stima chini ya maji walambe umeme (umeme) Ukifika kejani, chuna majani Changu ni chako usiogope darling, you are my honey Cheza kambumbu wapige kandanda Waachie misemo ya khanga Shika kachupa nishike kaganja Baibie tukule nyama karanga Baby cheza Kill him with the love, baby kill him with the loooove Dollar kwa meza Signal, nipe signal Napenda unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa (sawa) Eeeyyy na kichaaa Unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa (sawa) Mmmhhhmmmhh na kichaaa Cheza, cheza I've been waiting for this for a very long time baby Jua ikawaka kukanyesha na kukakauka tena baby So let me take you to banana island Let me show you what you've been missing I'll pamper you with designer when you Do like this and you do like that (eeh) I'll take you to banana island Let me show you what you've been missing I'll pamper you with designer when You do like this and you do like that Baby cheza Kill him with the love, baby kill him with the loooove Dollar kwa meza Signal, nipe signal Baby cheza Kill him with the love, baby kill him with the loooove Dollar kwa meza Signal, nipe signal Napenda unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa (sawa) Eeeyyy na kichaaa Unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa (sawa) Mmmhhhmmmhh na kichaaa Unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa (sawa) Baby Unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa baby (sawa) Unavyo shiki shikisha (sawa) Moto umeuwakisha (sawa) Unafanya napandwa na kichaa baby (sawa) Shikisha
Writer(s): Etale Watuba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out