Testi

Pass me the lighter Oh-oh-oh, I got it, I got it Yo, yo Yo, yo Ay, ooh Yo Kama si cheque, buda usinicall, number ni wrong (Number ni wrong) Kama si ganji, acha mtu IG hanging, ay Wacha wakuwe na makali Mi buty naenda kushika makali, ay Buda niliachanga kusota Siku hizi nazipanga tu kama mlami, ay Nachora vile ntasonga mbele, buda zenyu ni kelele Vile walikuwa wamedoze nikaa mafala wamewekewa matembe Mi nika boy ka mtaani lakini niko Karen nikidinya hawa walami, ay Vile nasave mangeos, siku hizi naitwanga tu hodari, ay Mistari inatisha, geri ni kutoka kumi na sita Vile hii game naiwinda nashindwa mbona bado sijasikika, ay Buda navuta umati, word on the street ni geri ni safi Buty ni zawadi ya mtaani ya wale wote hawakubali kipaji Kama si cheque buda usinicall, number ni wrong Cheza na thing wacha kuniharibia form Kaa wewe si peng, usinicall number ni wrong Nadai kadame kamebeba ki-Corazon Mbona ustress buda mimi hubonga na Don Geri hatari si hugeuzanga form Buda usitense si lazima ufiche phone Geri ni safi thought ulijuanga form Kama ni ndenga swali ni mbona bado unadoze tu kavu Haujambiwa hao mandenga ndio wanakuwanga na matabia nyaru Piga pete kitu safi mpaka utambua hiyo punyeto chafu Wanapendanga ma-panya, juu wao huskizana tu na mambaru Roho ya watu chafu, juu niko kwa sofa na hao sakafu Vile naona mboka ikijipa utaniona soon nikidunga barafu Waliita shrap ujinga, saa hii ujinga buda inashika, ay Hao mangeos wote waliringa mi nitawadinya na buda mi siataficha, ayy Buda nipate kwa kitchen, mi sikati nakoroga Buda ata vile nabonga utajua maboy wangu wote wako mboka, ay Cheki ngeos wako aliomoka vile Mus' alibring out the Rover, ay Buda ni 2019 nilidhani watu waliachana na manyoka, ay Vile hii game inatamba cheki ma-opponents nao wamechoka, ay Vile huyu dame anagawa na bado maboy wanadai kuichota, ay Boy jaribu kuzoza urudi mtaa na ma-face tatt za ma-timber, ay Buda niliachanga number ndio usintafute Unaweza piga but... Kama si cheque buda usinicall, number ni wrong Cheza na thing wacha kuniharibia form Kaa wewe si peng, usinicall number ni wrong Nadai kadame kamebeba ki-Corazon Mbona ustress buda mimi hubonga na Don Geri hatari si hugeuza form Buda usitense si lazima ufiche phone Geri ni safi thought ulijuanga form
Writer(s): Boutross Mwebia Munene Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out