Testi

Usiwe mbinafsi ka jogoo Kuamini kuwa jua uchomoza ili yeye tu awike Kila nafsi yenye roho Inaeza kuwa kama ilivyo ota, ili mradi tu isisite Kufika mbali ni lazima ujipange mwanzoni Ukitaka kuiba kengele weka pamba masikioni Tunakichanga deile kutamba hatukomi Mwenye mkwanja ukiwa nyuma ake anaisi utamkaba hauoni Tutete sisi vicheche freeze hatari taabu Mcheke chizi kama umefunga kizazi babu Mtete fid mapepe mdiss na hupati clap Kete please usimteke chid hauhitaji A-Rap Mama Aminaaaa (amina, minaa) Yamejaa haiwezi pima mechi hubuma hapo hapo Hakuna huruma hapa ita chuma kichaa Ukileta vyuma natafuna na ninatuna hadi kwapa Nakujua sikujui hainifanyi nikuamini Unazingua huzingui unautani na mimi Nishaanua hivo sifui unaelaani unanini? Paka nishatua nichukue ya halali yangu madini Maselabration to ooh yeah Yani masela wote wanasebenza ooh yeah Maselabration Yani masela wote wanacelebrate ooh yeah Eeh maselabration Nyonga washa tuvute Wacha viwake sasa mpaka kukuche Nyonga washa tuvute Wacha viwake sasa mpaka kukuche Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba Wacha viwake sasa mpaka kuche Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba Wacha viwake sasa mpaka kukuche Uswahilini wananitambua kama juju Nikitua wafitini wanacheua gubu Umasikini hatuuzimii hatuuhusudu Hautulii kama ulimi kwenye jino lenye mdudu Ukiwa masikini ni ngumu sana kuwa gentleman Hauwezi kumfungulia mpenzi mlango wa daladala Unapigwa chini ukitaka demu bwana nyetoman Yasiyo na pangwa yanakua mengi,mapenzi ni ufala Kuuzunguka mbuyu sio dawa ya shetani Kutojua kutojifunza ni sawa kiundani Kujuza kujikuza ni lazima udanganye Mshachuja mnakuja mpunguze hatulingani Nakujua sikujui hainifanyi nikuamini Unazingua hauzingui unautani na mimi Nishaanua hivo sifui unaelaani unanini? Paka nishatua nichukue ya halali yangu Maselabration ooh yaeh Yani masela wote wanasebenza ooh yeah Maselabration Yani masela wote wanacelebrate ooh yeah Eeh maselabration Nyonga washa tuvute Wacha viwake sasa mpaka kukuche Nyonga washa tuvute Wacha viwake sasa mpaka kukuche Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba Wacha viwake sasa mpaka kukuche Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba Wacha viwake sasa mpaka kukuche Wacha viwake sasa mpaka kuche Wacha viwake sasa mpaka kuche
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out