Testi

Yeeh! Unamjua Dingoo Too Too Too Much Money S2kizzy baby Sina Shida Ndogo Ndogo Jasho langu faida kwangu aisee Sina shida ndogo ndogo Nadili na mishe zangu mchana usiku Sina shida ndogo ndogo Omba jero nikasirike nikupe buku Sina shida ndogo ndogo (Shida) Msije shtuka mkiniona Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina(Ndogo Shida) Huna cha kufanya njoo kwangu nikupe mishe Umeshinda njaa kaa nami nikulishe Nitalipa deni nikukopeshe ukalipe Wana pesa chafu waje kwangu wazisafishe Asante Mungu kwa baraka unanielewa Nimesha waacha sio level zao tena Ziwe mbivu ziwe mbichi nazimenya Ndo isha kwisha sifanani nao tena Nimeridhika ona nilivyo nawiri Maisha yamechange mjomba msikariri Tambua pesa ndugu yake kiburi Shida kwa chawa wenye pesa manguli Sina Shida Ndogo Ndogo Jasho langu faida kwangu aisee Sina shida ndogo ndogo Nadili na mishe zangu mchana usiku Sina shida ndogo ndogo (Too much Money) Omba jero nikasirike nikupe buku Sina shida ndogo ndogo (Shida) Msije shtuka mkiniona Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina Sasa ni muda wa kuvimba vimba Na mabunda mi simbazi Change change ni za kwenu nitake radhi Najilipaga kwa siku siku sio kwa mwezi Now you know mambo yangu top Kwangu kutesa ni kwa zamzamzam Ishiwa pesa ukose hamhamham Pata pesa ni masham sham sham Oya mambo ni bam bam bam Oooh Shida zako tupa huko Zikiisha niite Kwenye mchezo bado mdogo Naomba usinitishe Nimeridhika ona nilivyo nawiri Maisha yamechange mjomba msikariri Tambua pesa ndugu yake kiburi Shida kwa chawa wenye pesa manguli Sina Shida Ndogo Ndogo Jasho langu faida kwangu aisee Sina shida ndogo ndogo Nadili na mishe zangu mchana usiku Sina shida ndogo ndogo (Too much Money) Omba jero nikasirike nikupe buku Sina shida ndogo ndogo (Shida) Msije shtuka mkiniona Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina(Alelelilalila) Sina shida ndogo ndogo sina Sina shida ndogo ndogo sina Instrumental
Writer(s): Oscar Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out