Testi

Cheki ule manzi anavyokam Anavyocheza drum Anavyokata bambam bambam Mi napenda uki-dance Coz you have a chance Basi amka ukatike Cheki ule manzi anavyokam Anavyocheza drum Anavyokata bambam bambam Mi napenda uki-dance Coz you have a chance Basi amka ukatike Cheki ule manzi anavyokata tonight Shaking her figure to left and to right Mamanzi wote nataka mfurahi Nataka m-dance Ki-experience Gal you look so romantic tonight On that outfit imeku-tight So tuende round sa basi baby Shake your waistline Kama Beyonce Songa karibu nikuonyeshe Hiyo kiuno nikukamate Chini kwa chini Tusakate From now mpaka che Au vipi baby Cheki ule manzi anavyokam Anavyocheza drum Anavyokata bambam bambam Mi napenda uki-dance Coz you have a chance Basi amka ukatike Cheki ule manzi anavyokam Anavyocheza drum Anavyokata bambam bambam Mi napenda uki-dance Coz you have a chance Basi amka ukatike Hebu just take a look the way she's moving African sexy gal the way she dancin Jesus I niko excited Inna di frenzy yeah Me wanna be there Ukikata eeh kata eeh eeh From the distance you look so sexy Mi nataka kuku-touch touch Unavyo-shake shake Unani-make make My mind go. waa So we gonna party until dawn Baby gal, would you wine and go down Coz you know umeni-turn me on The way you rock and roll Inna di dance floor Inna di dance floor Cheki ule manzi anavyokam Anavyocheza drum Anavyokata bambam bambam Mi napenda uki-dance Coz you have a chance Basi amka ukatike Cheki ule manzi anavyokam Anavyocheza drum Anavyokata bambam bambam Mi napenda uki-dance Coz you have a chance Basi amka ukatike Unanijazz unavyokata Unavyokata bila kuhata Ninabaki naona tu raha Basi dada wacha kukaa Amka ukatike... Unanijazz unavyokata Unavyokata bila kuhata Ninabaki naona tu raha Basi dada wacha kukaa Amka ukatike... Cheki ule manzi anavyokam Anavyocheza drum Anavyokata bambam bambam Mi napenda uki-dance Coz you have a chance Basi amka ukatike
Writer(s): Brian Nguah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out