Testi

Wakisema tutaachana ongeza nipenda zaidi ya jana Wakitamani tuuzunike tufanye sherehe Baby nipe tena kama jana Wanatamani yanibubujike Ukintenda kiutani utani utaniua eeeh Mi juu yako nshatamba sana ntaambia nini watu Weh ndo faraja maishani usiniue eeeh Milele kufa kuzikana nishachora tattoo Hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeeh Ntaificha wapi sura utanitia doa Hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeeh Ntaiweka wapi sura ntaiona dunia Ya uchungu Ya uchungu Ya uchungu Ya uchungu Achana na mapaka shume wataponza uchomoe Wasije wakakufunza unikomoe Wala hawatokuwa na maana lengo penzi walibomoe eeh Lazizi weeh Basi fanya usinibiboe Maana moyo wangu utaumia utaumiaaa aah Afu nafsi yangu itajutia itajutiaa Hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeeh Ntaificha wapi sura utanitia doa Hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeeh Ntaiweka wapi sura ntaiona dunia Ya uchungu Ukiondoka ukiniacha mwenzako ntaumiaa Ya uchungu Litanilemea litaniuma sana Ya uchungu Maradhi ya mapenzi nnayo yanaumiza Ya uchungu Mwenzako aaah eeh eehh Mwenzako napenda napenda vibaya Ukiniacha nitaumia Ukiondoka ntaumia Itaniumaa Itaniuma Ukiondoka ntaumia Itaniumaa Itaniuma
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out