album cover

Binadamu

23.307Afro-Pop2013
album cover
00:00
00:30
00:35
00:45
01:20
01:50
02:05
02:30
03:35
00:00
04:33
Ultimi 7 giorni
Binadamu è stata scoperta più frequentemente a circa 45 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (Wabaya)
Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (Mbaya)
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati, wote niishi nao sawa
[Verse 2]
Nilipouanza mziki, mbali na dhiki
Nimekutana na matatizo sana
Sikuwa rafiki, sithaminiki
Bado kidogo mie tu nikate tamaa
[Verse 3]
Wangu moyo, ulivumilia dharau na masimango mi
Mi wangu moyo, ulivumilia utumwa na manyanyaso dih
Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu
Nilikuwa naumia
[Verse 4]
Moyoni najipa moyo kesho ntakuwa maarufu
Mwisho wa siku nafulia
Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu
Nilikuwa naumia
[Verse 5]
Najipa moyo kesho ntakuwa maarufu
Mwisho wa siku nafulia
[Chorus]
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (Wabaya)
Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (Mbaya)
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati, wote niishi nao sawa
[Verse 6]
Kidogo nakula na mama yangu
Siwezi kuwasahau na ndugu zangu
Upendo popote alipo kwa baba yangu
Japo alinikataa
[Verse 7]
Aa bata nakulaga mi na rafiki zangu
Tunacheza Reggae na masikini wenzangu
Alazwe pepa peponi na bibi yangu
Mjukuu wake sanana
[Verse 8]
Sababu ya ugumu wa maisha
Na maumivu ya mapenzi nikaandika "Kamwambie"
Ndo hapo hustle zikaisha, kabariki
Mwenyezi watanzania wanizimie
[Verse 9]
Asa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangilia
Wengine, furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia
Asa hivi kwenye tamasha yaani ikitajwa jina watu wanashangilia
Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia
[Chorus]
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (Wabaya)
Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (Wana rho mbaya)
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati, wote niishi nao sawa
[Outro]
Eii tena wabaya sana
Ouu wanakatisha tamaa
Eii uh wabayaa
Tena wabayaa
Ouu aah sana
Wabaya sana
Wabaya sana
Mmh wabaya sana
Eeh mmh wabaya sana
Wabaya sana
Mmh eeh wabaya sana
Mmh wabaya sana
Eeh mmh wabaya sana
Written by: Diamond Platnumz

Footer Shazam

Seleziona lingua:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Seguici

Loading...