Video musicale

AFRICAN Top 10 (week 12 / 2020)
Guarda il video musicale per {trackName} di {artistName}

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Messias Maricoa
Messias Maricoa
Vocals
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Zesty
Zesty
Producer

Testi

Mmmh, namshukuru Mola kanijalia Mrembo wa sura hadi tabia Nina kila sababu ya kujivunia iyee Yaani kila kona umetimia Napenda manukato ukinukia Ukinigusa ndo nazimia iyee Yaani kama ndege na wanae Tuogelee na tupae Kwenye kiota tukakae mi nawe Uje nikubebe washangae Wenye uchungu wakazae Tukicheza कुछ कुछ na होता है mi nawe Una guu la beer wala huna fito Chuchu zako hunitoa majicho Hata uvae gunia bado uko simple Unapendeza Shape sinia, kiuno kijiko Chumbani wanipa madiko diko Ukifungua koki yaani ni mafuriko Umeniweza Ooh my baby teamo Teamo Ooh my baby teamo Teamo Meu amor Sabes bem que tu és a única metade de mim Metade de mim Mon amour! És destaque de todas as rosas que tem no jardim No jardim Essa forma você é louca Me deixa com água na boca Quando tocas, meu core fica no lume Palmas pra mama, pra papa Por fazer essa menina Menina ê mais linda do mundo ê És a tal choco-choco que me tocou A mamacita que me tombolou Que me tombolou És a tal choco-choco que me tocou A mamacita que me tombolou Que me tombolou Ooh my baby teamo Teamo Ooh my baby teamo Teamo Utamu wa asali Najilamba lamba tu Nakukupoteza mi sidhani (aah) Twende Zanzibari Kwenye marashi ya karafuu Tukale na pweza forodhani (aah) Yaani kama ndege na wanae Tuogelee na tupae Kwenye kiota tukakae mi nawe Uje nikubebe washangae Wenye uchungu wakazae Tukicheza कुछ कुछ na होता है mi nawe Ooh my baby teamo Teamo Ooh my baby teamo Teamo
Writer(s): Rayvanny Rayvanny, Messias Maricoa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out